Kiswahili -سواحيلي
Islamic content in Kiswahili language …… محتوى إسلامي باللغة Kiswahili -سواحيلي
UBORA WA UISLAMU
UBORA WA UISLAMU – فضل الإسلام Kitabu hiki kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, kinazungumzia: Maana ya uislamu, ubora wa uislamu na uwajibu wa kuingia katika uislamu. Kiswahili (Swahili)-سواحيلي
HII NDIYO ITIKADI YETU
HII NDIYO ITIKADI YETU – هذه عقيدتنا Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu Kiswahili (Swahili)-سواحيلي
HUKUMU ZA TWAHARA
HUKUMU ZA TWAHARA – أحكام الطهارة Kitabu kinazungumzia: Hukumu za twahara ikiwemo namna ya kutawadha, na kuoga, na kutayamam, na kupangusa kwenye khofu, na namna ya kujitwaharisha mginjwa, na namna ya kuswali mgonjwa. Kiswahili (Swahili)-سواحيلي
Namna ya swala ya mtume (s.a.w)
Namna ya swala ya mtume (s.a.w) – كيفية صلاة النبي صلى الله عليه وسلم Kitabu hii kinaelezea sifa ya swala ya mtume (s.a.w). kitabu hiki nizawadi kwa waislam wote wanaotaka kumuiga mtume (s.a.w) katika swala . Kiswahili (Swahili)-سواحيلي
Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu
Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu – الدين الصحيح • Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu Ni Ipi? • Jina La Dini • Mwenyezi Mungu Na Uumbaji • Ujumbe Wa Dini Za Uwongo • Dini Ya Mwenyezi Mungu Ni Ya Ulimwengu Mzima • Kumtambua Mwenyezi Mungu. • Dalili Za Mwenyezi Mungu. • Hitimisho Kiswahili […]
KUSAFISHA KUW AAMINI UCHAFU WA KUTO AMINI
KUSAFISHA KUW AAMINI UCHAFU WA KUTO AMINI – تطهير الاعتقاد عن أدران الإلحاد Kiswahili (Swahili)-سواحيلي
MAHARAMISHO YALIYODHARAULIWA NA WAISLAMU WENGI AMBAYO Nl WAJIBU KUJIHADHARI NAYO
MAHARAMISHO YALIYODHARAULIWA NA WAISLAMU WENGI AMBAYO Nl WAJIBU KUJIHADHARI NAYO محرمات استهان بها كثير من الناس Kiswahili (Swahili)-سواحيلي
Hisn Al-Muslim (Kinga Ya Muislamu katika Nyiradi Za Qur-ani Na Hadithi Za Mtume)
Hisn Al-Muslim (Kinga Ya Muislamu katika Nyiradi Za Qur-ani Na Hadithi Za Mtume) حصن المسلم من أذكار الكتاب والسنة Kiswahili -سواحيلي Number of Pages: 224
TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR’ANI TUKUFU
TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR’ANI TUKUFU تفسير العشر الأخير من القرآن الكريم ويليه أحكام تهم المسلم Kiswahili (Swahili)-سواحيلي Number of Pages: 83
The Key to understanding Islam … 29 Language(s)
The Key to understanding Islam المفتاح لفهم الإسلام by Abdul-Rahman Al-Sheha (Author) متوفر في 29 لغة 29 Language(s) available : 1 – المفتاح لفهم الإسلام العربية (Arabic) 2 – The Key to understanding Islam English (Eng) 3 – La Clef Pour Comprendre I’Islam Français (French) 4 – La llave para comprender el Islam Español (Spanish) 5 […]
A Brief Illustrated Guide to Understanding Islam… 54 Language(s)
A Brief Illustrated Guide to Understanding Islam دليل مصور ومختصر لفهم الإسلام by I. A. Ibrahim (Author) المؤلف : أ . أ .إبراهيم This is a book in 54 Language(s) shows for the non-Muslims who would like to understand Islam, Muslims, and other facets of Islam. متوفر في 54 لغة 54 Language(s) available 01 – دليل […]
UNDERSTANDING ISLAM… 9 Language(s)
UNDERSTANDING ISLAM فهم الاسلام متوفر في 9 لغة 9 Language(s) available 1 – Understanding ‘Islam English (Eng) 2 – COMPRENDRE L’ISLAM Français (French) 3 – ENTENDIENDIENDO EL ISLAM Español (Spanish) 4 – Verständnis für den Islam Deutsch (German) 5 – POROZUMĚNÍ ISLÁM Čeština (Czech) 6 – Понимая мусульманство Русский (Russian) 7 – Pag – unawa […]
سورة الفاتحة (Fatihah) مكرر 3 مرات مترجمة بالغة السواحلية
Quran Tukufu Ufunuo wa Quran Tukufu na Sheikh: Mohammed Siddique Al-Manshawi Surat Al-Fatihah alitafsiriwa katika lugha ya Kiswahili HD Kurudia mara tatu The Holy Quran Recitation of the Holy Quran by Sheikh : Mohammed Siddique Al-Manshawi translated into the Swahili language HD Repeat three times تلاوة من القرآن الكريم للقارئ الشيخ محمد صديق المنشاوي سورة […]