HUKUMU ZA TWAHARA – أحكام الطهارة – Kiswahili (Swahili)-سواحيلي

 

HUKUMU ZA TWAHARA

– أحكام الطهارة

Kitabu kinazungumzia:
Hukumu za twahara ikiwemo namna ya kutawadha, na kuoga, na kutayamam, na kupangusa kwenye khofu, na namna ya kujitwaharisha mginjwa, na namna ya kuswali mgonjwa.

 

Kiswahili (Swahili)-سواحيلي
عدد الصفحات 17